Tuesday, October 1, 2013

AUDIO: East U Rapaz "VITA MADAWA"

VITA MADAWA ndo mpango mzima...
Ni vijana wa Mbeya wanitwa East U Rapaz, hii ni nyimbo inayopinga suala lamatumizi ya madawa ya kulivya.. VITA MADAWA...

Friday, September 13, 2013

VIONGOZI WASHTAKIWA KWA MAUAJI YA UMATI

Rais aliyetolewa madarakani nchini misri  pamoja na viongozi wengine 14 wa Harakati ya Ikhwanul Muslimin, watashtakiwa kwa kosa la kufanya  mauaji ya umati nchini humo. 
RAIS Mwenyewe
Rais huyo wa zamani wa Misri atapandishwa kizimbazi,  kujibu mashtaka ya mauaji ya watu saba wa upinzani waliouawa katika maandamano ya tarehe 5 Desemba mwaka jana.

Miongoni mwa viongozi 14 wanaotajwa kujibu shitaka hilo ni pamoja na   Makamu Mwenyekiti wa chama cha Uhuru na Uadilifu tawi la kisiasa la Ikhwanul Muslimiin nchini Misri .
Zaidi ya watu 1000 wamekwishauawa na zaidi ya viongozi 2000 wa Harakati ya Ikhwanul Muslimiin kutiwa mbaroni, tangu jeshi la nchi hiyo lilipochukua hatua ya kumuondoa madarakani rais  Muhammad

Info Gramme BLOGSPOT

Info Gramme BLOGSPOT